About mkykabale
@mkykabale
Kiufupi ni kuwa kwa Jina Naitwa Makenya Kabale ni kijana wa kitanzania na naipenda sana nchi yangu.
Hapa utapata maudhui ya aina tatu nayo ni:-
:Maoni yangu juu ya Siasa za Nje/Ndani
:Maoni yangu juu ya Uchumi/Biashara(FX)
:Maoni yangu juu ya Maisha Yetu ya Kila Siku
Mimi ni mwana CCM
Mimi ni mwana YANGA
Mimi pia ni Kijana mpenda Amani na Ukweli
Naamini kuwa "msema kweli ni mpenzi wa mungu"
NOTE:
KUNA WATU KATIKA NCHI YANGU AWATANIPENDA KWA SABABU NTAKUWA MWIBA KWAO NA SINTOJALI SABABU NITASEMA UKWELI KAMWE NA HATA KAMA SIUJUI NTATAFUTA MTU ANAOUJUA NA NITASEMA.
Ukweli na mapenzi kwa taifa langu la Tanzania ndio maana nimeamua kubadilisha akaunti hii na kuja na mambo hayo matatu ambayo utayapata hapa.
Niko ready for anything
@mkykabale
@mkykabale
@mkykabale
bytheway #swanglish ndio #vibe letu hapa @mkykabale tafadhali share/like just do whatever u want......
@mkykabale
@mkykabale
@mkykabale
Most Viewed Games
Latest Videos
Variety of Games on Channel
There are 28 games covered by mkykabale, consisting of 149 videos, or 54.18% of the total videos on this channel.






