Poland kuisaidia Tanzania kukuza sekta ya mifugo

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=IBHPQiCXWik



Duration: 3:10
1,044 views
13


Poland imeeleza mpango wake wa kuendelea kushirikiana kwa karibu na #Tanzania katika kuendeleza sekta mbalimbali ikiwemo ya mifugo kwa kutoa programu za mafunzo, vifaa pamoja na teknolojia za kisasa zitakazosaidia ukuaji wa sekta hiyo muhimu katika maendeleo ya nchi.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz







Tags:
azamtv
azamtvmax
mifugo
tanzania
poland
ngozi
viwanda vya nyama