Mtambo wa kusafisha maji ya mabwawa wazinduliwa Monduli

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=jVg877aEsL4



Duration: 3:26
524 views
4


Mradi wa kuchuja na kutakasa maji ya mabwawa kwa kutumia mitambo maalumu unatarajiwa kuwa suluhisho la kudumu na kuwaondolea adha wakazi wa baadhi ya vijiji vya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha waliokuwa wakilazimika kutembea umbali mrefu porini kwaajili ya kufuata huduma ya maji safi na salama.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz







Tags:
azamtv
azamtvmax
azamsports