FAO yatahadharisha ongezeko la athari ya ukatwaji wa mikoko

Channel:
Subscribers:
2,600,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=cAsmFsYMKLo



Duration: 3:35
297 views
1


Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limewataka wananchi kukaa chini na kutafakari madhara yanayotokana nayo ukataji wa mikoko kwani athari zake ni kubwa kwa maisha.

Hayo yamesemwa na Mratibu wa Mradi wa Marejesho ya Mfumo wa Ikolojia wa Mikoko Ulioharibika wa ACP-MEA III kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Diomedes Kalisa alipotembelea mradi huo katika wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam.




Other Videos By Azam TV


2022-05-26Magoli | Tanzania Prisons 1-1 Geita Gold FC | NBC Premier League 26/05/2022
2022-05-26Malimbikizo ya madeni || Polisi wafungiwa mita za malipo ya kabla ya maji
2022-05-26Wadau wazungumzia bajeti ya kilimo na matumaini mapye sekta hiyo
2022-05-26Serikali kuanza kutumia mfumo wa manunuzi wa EPC kutekeleza miradi kwa haraka
2022-05-26Ongezeko la watalii Kilimanjaro || Huduma za kitalii zaboreshwa Hai, uwanja wa KIA
2022-05-26MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 25/05/2022
2022-05-26Namungo 3-3 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 20/05/2022
2022-05-26HOJA MEZANI | Hatua za kufuata baada ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa Monkeypox
2022-05-25WEDNESDAY NIGHT - 25/05/2022 | Joto kuelekea nusu fainali ya ASFC, magwiji wa soka watoa neno
2022-05-25KAHAWA || Kilimo cha kahawa - Nyandila, Mvomero
2022-05-25FAO yatahadharisha ongezeko la athari ya ukatwaji wa mikoko
2022-05-25NYAVUNI - 25/05/2022 | Magoli Kumi bora na Saves tano kali kutoka ndani ya NBC Premier League
2022-05-25Magoli | Polisi Tanzania 2-0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 25/05/2022
2022-05-25Ruvu Shooting 1-1 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 23/05/2022
2022-05-25TRA Kilosa yapongezwa kwa utoaji elimu, kuongeza makusanyo ya mapato
2022-05-25Magoli na penati | Mbeya Kwanza 2-0 Kagera Sugar | NBC Premier League 25/05/2022
2022-05-25MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 24/05/2022 - AZAM TV
2022-05-25AZAM FC TV - 24/05/2022 | Maandalizi na Mipango yetu Kuelekea nusu fainali ya ASFC
2022-05-25Gwiji wa Simba SC , Juma Amir Maftah atoa neno kuelekea nusu fainali ya ASFC, Yanga dhidi ya Simba
2022-05-25WATOTO SHANGWE - UTV 25/05/2022 | Watoto na sanaa ya uchoraji
2022-05-24MIZANI YA WIKI - Kuvuja kwa mitihani na udanganyifu



Tags:
azamtv
azamtvmax
azamsports
FAO
Mikoko
Kilimo na chakula
Uharibifu wa mazingira