Fedha za korosho Sh1.2 bilioni zawatia matatani viongozi vyama vya msingi

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=eSAqKb0W6wY



Duration: 1:31
360 views
3


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza jeshi la polisi mkoani Mtwara kuendelea kuwakamata viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa Sh1.2 bilioni za wakulima ambazo ni malimbikizo ya malipo ya korosho.

#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV