Pyramids yatua Mwanza, kocha wao aikubali Yanga

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=5r-2vgU3gtQ



Duration: 2:17
38,832 views
118


Kikosi cha Timu ya Pyramids kutoka Misri kimewasili salama jijini Mwanza tayari kwa mchezo wao dhidi ya Yanga utakaochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo.

Akizungumza kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza mara baada ya kuwasili, kocha wa timu hiyo Sebastian Desabre amesema anafahamu ubora kikosi cha Yanga hivyo wamefanya maandalizi ya kutosha kuhakikisha wanarejea kwao na alama tatu kibindoni.

Kocha Desabre pia amezungumzia suala la mchezo huo kupelekwa jijini Mwanza badala ya Dar es Salaam




Other Videos By Azam TV


2019-10-26Baadhi ya mali za Singida United zapigwa mnada kwa kushindwa kulipia pango
2019-10-26MAGOLI: MTIBWA SUGAR 2-0 POLISI TANZANIA (VPL - 26/10/2019)
2019-10-26LIVE - RAIS MAGUFULI ANAPOKEA NDEGE MPYA YA PILI AINA YA BOEING 787-8 DREAMLINER
2019-10-26LIVE - MASHINDANO YA MCHEZO WA TAEKWON-DO KIMATAIFA KWA MATAIFA YA AFRIKA
2019-10-26Waziri Mkuu amwakilisha JPM Mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote
2019-10-26Rais Magufuli kupokea ndege mpya ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner leo
2019-10-25MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 25/10/2019
2019-10-25Hujafa hujaumbika na kamwe usikate tamaa
2019-10-25VIWANJANI 25/10/2019: Kuelekea Yanga vs Pyramids | Uchambuzi mechi ya Simba 1-0 Azam
2019-10-25LIVE - HABARI - AZAM TV 25/10/2019
2019-10-25Pyramids yatua Mwanza, kocha wao aikubali Yanga
2019-10-25YANGA TV 25/10/2019: Yanga ilivyonoa makali kuiua Pyramids, Zahera afichua mbinu, wachezaji wanena
2019-10-25LIVE - ALASIRI LOUNGE - AZAM 25/10/2019
2019-10-25MORNING TRUMPET: Kongamano la dunia la falsafa za Afrika na umuhimu wake
2019-10-25MORNING TRUMPET: Fahamu zaidi kuhusu tuzo za Top 100 SME
2019-10-25Fedha za korosho Sh1.2 bilioni zawatia matatani viongozi vyama vya msingi
2019-10-25LIVE - ADHUHURI LIVE AZAM 25/10/2019
2019-10-25Tanzania yaongoza Afrika Mashariki katika usambazaji umeme kwa wananchi wake
2019-10-25DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 25/10/2019
2019-10-24MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 24/10/2019
2019-10-24NYUNDO YA BARUAN MUHUZA 24/10/2019: CEO Abdulkarim Amin 'Popat' na mwelekeo mpya wa Azam FC