Tanzania yaongoza Afrika Mashariki katika usambazaji umeme kwa wananchi wake

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=2dJsSxVqY9c



Duration: 2:18
545 views
4


Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili katika bara la Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi wake ikiongozwa na Afrika kusini.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na asilimia 70.

#AzamTVUpdates #BreakingNews, #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari #Habari #UTV #UFM







Tags:
AzamTV
AzamTWO
AzamTVHabari
Habari
UTV
UFM
BreakingNews
AzamTVApp