Highlights | Tanzania Prisons 2-2 Coastal Union | VPL 22/06/2021

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=rD38UzCuesI



Duration: 19:40
7,801 views
31


Magoli manne yamefungwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga, Tanzania Prisons wakilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL).

Magoli ya Prisons yamefungwa na Samson Mbangula na Jeremiah Juma huku magoli ya Coastal yakifungwa na Abdul Suleiman Sopu na Mudathir Said.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz







Tags:
azamtv
azamtvmax
azamsports