Magoli | Tanzania 3-2 Burundi | Kufuzu Kombe la Dunia Wanawake U20 - 04/12/2021

Magoli | Tanzania 3-2 Burundi | Kufuzu Kombe la Dunia Wanawake U20 - 04/12/2021

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=UW9AugCq84A



Duration: 4:45
46,442 views
189


TANZANITE VS BURUNDI: Haya hapa magoli yote matano, timu ya taifa ya wanawake (The Tanzanite) ilipoitwanga Burundi mabao 3-2 katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia.

Magoli ya Tanzania yamefungwa na Clara Luvanga dakika ya 9', Joyce Lema dakika ya 15', Aisha Masaka dakika ya 44' wakati Burundi wakijipatia magoli yao kupitia kwa Estella Gakima dakika 22' pamoja na Noella dakika ya 58'.

Mechi imepigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.




Other Videos By Azam TV


2021-12-05SPORTS AM 05/12/2021 | Wachambuzi waigusa mechi Red Arrows Vs Simba
2021-12-05Magoli | Red Arrows 2-1 Simba | CAF CC 05/12/2021
2021-12-05Magoli ya KMC ikiitandika Geita Gold 2-0 NBC Premier League 05/12/2021
2021-12-05MIAKA 60 YA UHURU | Mkuu wa majeshi mstaafu azungumzia uzalendo
2021-12-05Polisi Tanzania 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 04/12/2021
2021-12-04Ruvu Shooting 1-2 Namungo | Highlights | NBC Premier League 03/12/2021
2021-12-04MAMA ALIYEWAPA SUMU WATOTO AJUTIA MAKOSA
2021-12-04Ludovick Utouh azungumzia hatua za uwajibishwaji watendaji zinazofanywa na Rais Samia
2021-12-04CHEKECHE || Kirusi cha Omicron na vikwazo kwa "waafrika" kuingia kwenye baadhi ya nchi za Ulaya
2021-12-04Mufti asisitiza amani na ushirikiano baina ya waumini wa dini tofauti
2021-12-04Magoli | Tanzania 3-2 Burundi | Kufuzu Kombe la Dunia Wanawake U20 - 04/12/2021
2021-12-04Goli la Tariq Simba | Polisi Tanzania 1-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League 04/12/2021
2021-12-04KIPYENGA CHA MWISHO 02/12/2021 | Utata 'goli' la Geita Gold dhidi ya Simba
2021-12-03MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 3/12/2021
2021-12-03LIVE | TAARIFA YA HABARI , AZAM TV - IJUMAA 03/12/2021
2021-12-03Magoli | Ruvu Shooting 1-2 Namungo | NBC Premier League 03/11/2021
2021-12-03ALL WHEEL DRIVE: IJUE TAA YA GARI YAKO
2021-12-03NYAVUNI 01/12/2021 | Mabao 10 Bora NBC PL raundi ya saba
2021-12-03NYAMA | Mikakati ya kunusuru upungufu wa nyama yawekwa wazi
2021-12-03Biashara United 1-1 Polisi Tanzania FC | Highlights | NBC Premier League 30/11/2021
2021-12-03Kutana na binti wa miaka 16 aliyefanikiwa kuandika na kuchapisha kitabu



Tags:
azamtv
azamtvmax
azamsports
Tanzania
Burundi
Tanzania wanawake
women football
Tanzanite
soccer
Tanzania vs Burndi
Women U20 World cup Qualifires
Chamazi