NYAMA | Mikakati ya kunusuru upungufu wa nyama yawekwa wazi

Channel:
Subscribers:
2,620,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=TGq4usJvs7I



Duration: 6:12
395 views
1


Tanzania iko mbioni kupungukiwa kwa nyama kwa takriban tani milion 1.7 ifikapo mwaka 2031 kwa mujibu wa mpango wa maendeleo ya sekta ya mifugo wa miaka kumi na tano kutokana na ukuaji wa maendeleo hivyo kupelekea ongezeko la watu na upungufu wa ardhi

Katika mkutano wa kwanza wa chama cha wafugaji wakubwa kibiashara TCCS unaojadili changamoto zao na nini kifanyike ndipo kaimu mkurugenzi wa idara ya masoko na mauzo wa wizara ya mifugo ndio akaweka bayana na kuainisha mikakati ya serikali katika kukabiliana na hilo.




Other Videos By Azam TV


2021-12-04CHEKECHE || Kirusi cha Omicron na vikwazo kwa "waafrika" kuingia kwenye baadhi ya nchi za Ulaya
2021-12-04Mufti asisitiza amani na ushirikiano baina ya waumini wa dini tofauti
2021-12-04Magoli | Tanzania 3-2 Burundi | Kufuzu Kombe la Dunia Wanawake U20 - 04/12/2021
2021-12-04Goli la Tariq Simba | Polisi Tanzania 1-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League 04/12/2021
2021-12-04KIPYENGA CHA MWISHO 02/12/2021 | Utata 'goli' la Geita Gold dhidi ya Simba
2021-12-03MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 3/12/2021
2021-12-03LIVE | TAARIFA YA HABARI , AZAM TV - IJUMAA 03/12/2021
2021-12-03Magoli | Ruvu Shooting 1-2 Namungo | NBC Premier League 03/11/2021
2021-12-03ALL WHEEL DRIVE: IJUE TAA YA GARI YAKO
2021-12-03NYAVUNI 01/12/2021 | Mabao 10 Bora NBC PL raundi ya saba
2021-12-03NYAMA | Mikakati ya kunusuru upungufu wa nyama yawekwa wazi
2021-12-03Biashara United 1-1 Polisi Tanzania FC | Highlights | NBC Premier League 30/11/2021
2021-12-03Kutana na binti wa miaka 16 aliyefanikiwa kuandika na kuchapisha kitabu
2021-12-02DC Nyangasa amuomba Rais Samia kutembelea kiwanda kikubwa cha uzalishaji vifaa vya umeme Kigamboni
2021-12-02Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakamatwa Tanga
2021-12-02MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 02/12/2021
2021-12-02TPA yataka makusanyo ya zaidi ya trilioni moja ifikapo Juni 2022
2021-12-02Chuo Kikuu Cha Afya MUHAS chagundua ongezeko la wagonjwa wa magonjwa yasiyoambukiza
2021-12-02MIAKA 60 YA UHURU | Hospitali ya Mount Meru kutoa matibabu bure
2021-12-02LIVE | TAARIFA YA HABARI , AZAM TV - ALHAMISI 02/12/2021
2021-12-02DC Mchembe ataka vyoo bora Handeni



Tags:
azamtv
azamtvmax
Nyama
TCCS
Mifugo
Ng'ombe
Kilimo na Ufugaji