Muhubiri anasakwa kuhusiana na tuhuma za kumnajisi msichana

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=3JAWiUqZOh4



Duration: 3:19
5,450 views
77


Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii wameanzisha msako wa mhubiri mmoja wa kanisa la P.A.G eneo la Amariba kaunti ya Kisii anayetafutwa kwa madai ya kumnajisi mwanafunzi wa Gredi ya nne. Inaarifiwa kuwa msichana huyu alikuwa ametumwa kumplekea muhubiri huyo chakula kabla ya tukio.