REA yavuka malengo ya kusambaza umeme vijijini

REA yavuka malengo ya kusambaza umeme vijijini

Channel:
Subscribers:
2,610,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=-z2WItqnsUI



Duration: 6:06
427 views
0


Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imefanikiwa kuvuka malengo waliyojiwekea ya kuwafikishia wananchi huduma ya umeme kwa asilimia hamsini ambapo hadi June 2021 wamewafikishia kwa asilimia 69.6
Mkurugenzi Mkuu wa REA Mhandisi Hassan Seif Saidy wakati akielekea mafanikio ya miaka 60 ya uhuru, jijin Dar es salaam amebainisha hali ya maisha ya wakazi wa vijijini imebadilika Kwani wakala hao tangu waanze mwaka 2007 ilikuwa ni asilimia 2 tu ya vijiji walikuwa wamefikiwa na huduma ya umeme ambapo kwasasa ndio hizo asilimia zaidi ya sitini




Other Videos By Azam TV


2021-12-02WWF yatenga Sh9 bilioni kulinda rasilimali za asili
2021-12-01Simba SC 2-1 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 01/12/2021
2021-12-01Highlights | Polisi 0-0 Uhamiaji | Zanzibar Premier League 01/12/2021
2021-12-01Magoli | Simba 2-1 Geita Gold FC | NBC Premier League 01/12/2021
2021-12-01LIVE | TAARIFA YA HABARI , AZAM TV - JUMATANO, 01/12/2021
2021-12-01Highlights | Mlandege 2-0 Zimamoto | Zanzibar Premier League 27/11/2021
2021-11-30MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 30/11/2021
2021-11-30MAKALA: Migogoro ya ardhi Mara inavyotatuliwa kitaalam
2021-11-30Azam FC 1-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC premier League 30/11/2021
2021-11-30UDSM marathon yalenga kukusanya milioni 200 kujenga mapumzikio ya wanafunzi
2021-11-30REA yavuka malengo ya kusambaza umeme vijijini
2021-11-30Manaibu wasajili na Watendaji wa mahakama wanolewa kwa siku 5
2021-11-30Goli la Idris Mbombo | Azam FC 1-0 Mtibwa Sugar | NBC premier League 30/11/2021
2021-11-30Mbeya Kwanza FC 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/11/2021
2021-11-30LIVE | TAARIFA YA HABARI , AZAM TV - JUMANNE, 30/11/2021
2021-11-30Magoli na penati | Biashara United 1-1 Polisi Tanzania | 30/11/2021
2021-11-30Magoli | Mbeya Kwanza 0-2 Yanga | NBC Premier League 30/11/2021
2021-11-30LEAD na JUSTDIGGIT wahuisha miti milioni 6.3 Dodoma kupitia KISIKI HAI
2021-11-30UFUNGUO | Mbinu za ufundishaji zenye tija na mafanikio kwa wanafunzi
2021-11-29UFUNGUO || Utafiti wa TWAWEZA ulivyoongeza chachu kwa walimu na wanafunzi
2021-11-29UFUNGUO || Uhaba wa vitabu shuleni || Mwananchi unamsaidiaje mwanafunzi?



Tags:
azamtv
azamtvmax
UTV
REA
Umeme
Maendeleo