Wakazi wa Lodwar walalamikia joto kali

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=_BqSlBkFlzA



Duration: 3:25
4,756 views
0


Wakazi wa Lodwar kaunti ya Turkana na viungani vyake wanalalamikia joto jingi ambalo limewasababisha kushindw akuendeleza shughuli zao mchana na kuwalazimisha kulala nje usiku. idara ya utabiri wa hali ya anga imekiri kuwa eneo hilo linakabiliwa na ongezeko la nyuzi joto zisiyo za kawaida. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel joto katika eneo hilo hupanda hadi nyuzi joto 42.