Muungano wa wanafunzi wa vyuo vya kadri wanalalamika Samburu

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=TOhN-rBlIQg



Duration: 3:13
525 views
0


Muungano wa wanafunzi wa vyuo vya kadri na vyuo vikuu kaunti ya samburu unalalamikia uvamizi wa mara kwa mara kaunti hiyo na kuitaka serikali kuwatuma maafisa zaidi wa usalama ili kuwakomesha majahili wanaotatiza usalama eneo hilo. Bonface barasa anaelezea dhiki ya wakazi wa Samburu kutokana na ukosefu wa usalama.