Wakulima Nandi na Kirinyaga walalamika

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=lXuOz4QBPdw



Duration: 1:58
395 views
0


Wakulima katika kaunti za Nandi na kirinyaga wahofia kuwa watapata mazao duni kutokana na Mbolea Gushi inayoendelea kusambazwa humu nchini. wakulima hao wametoa wito kwa waziri wa kilimo mithika linturi kuchukua hatua za dharura kuhakikisha kuwa wanapata mbolea inayofaa kabla ya msimu wa upanzi kwisha