MBEYA CITY 0-2 BIASHARA UNITED: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 20/10/2019)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=wiOd19t1UEQ



Duration: 26:33
14,962 views
61


Timu ya Biashara United ya mkoani Mara imepata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Mabao ya Biashara United yamefungwa na Ally Kombo dakika ya 67 na Innocent Edwin dakika ya 90 huku timu zote zikionesha mchezo wa ushindani zikishindwa kutumia nafasi kadhaa zilizopatikana.

Baada ya mchezo huo Kocha wa Mbeya City amesema haelewi ni kwanini wachezaji wake wameshindwa kuzitumia nafasi zaidi ya tatu walizopata, lakini akaahidi kufanyia marekebisho mapungufu aliyoyaona.

Kwa upande wake Kocha wa Biashara Omary Madenge ambaye aliahidi ushindi wa mabao 3-0 amesema kilichofanya ashindwe kupata idadi hiyo ya mabao ni ubora wa Mbeya City hasa kwenye safu ya ulinzi, lakini akasisitiza kuwa alistahili kupata ushindi huo kutokana na maandalizi aliyoyafanya.




Other Videos By Azam TV


2019-10-21Azam FC yamtangaza Aristica Cioba kuchukua mikoba ya Ndayiragije
2019-10-21Mahakama ya Rufaa yaanza vikao Tabora, mashauri 30 kutolewa maamuzi
2019-10-21Mikataba yote ya wakandarasi ambao miradi yao haijakamilika kufutwa Ruvuma
2019-10-21Dar kinara wa ukusanyaji wa mapato, yakusanya Sh39.5 bilioni
2019-10-21LIVE | ADHUHURI LIVE AZAM TV 21/10/2019
2019-10-21LIVE - MKUTANO WA 58 WA SHIRIKISHO LA MASHAURIANO YA KISHERIA LA ASIA NA AFRIKA
2019-10-21DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 21/10/2019
2019-10-20MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 20/10/2019
2019-10-20COASTAL UNION 2-1 MWADUI FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 20/10/2019)
2019-10-20SPORTS AM 20/10/2019: Mzee Abdallah Ngaunja 'National' ; Beki wa zamani wa Yanga
2019-10-20MBEYA CITY 0-2 BIASHARA UNITED: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 20/10/2019)
2019-10-20LIVE |HABARI WEEKENDI 20/10/2019)
2019-10-20MAGOLI YOTE: COASTAL UNION 2-1 MWADUI FC (VPL - 20/10/2019)
2019-10-20Magoli ya Biashara United ikiichapa Mbeya City 2-0 Sokoine (VPL - 20/10/2019)
2019-10-20LIVE | UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI ZA LEO (VPL - 20/10/2019)
2019-10-20LIVE | HAFLA FUPI YA MIAKA MIWILI YA UONGOZI WALLACE KARIA KAMA RAIS WA TFF
2019-10-19MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 19/10/2019
2019-10-19SIMBA TV 19/10/2019: Mabingwa wa Tanzania walivyoipagawisha Kigoma kwa burudani ya soka
2019-10-19LIVE: HABARI WIKIENDI - AZAM TV 19/10/2019
2019-10-19TANZANIA PRISONS 1-1 KAGERA SUGAR: HIGHLIGHTS (VPL - 19/10/2019)
2019-10-19KURASA ZA MWISHO 19/10/2019: Crescentius Magori na Oscar Mirambo, wafafanua ya magazetini