Wawekezaji toka China waahidi kuwekeza mkoani Pwani

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=9DRdefrQB3Q



Duration: 2:13
213 views
1


Ujumbe wa wawekezaji watano kutoka jimbo la HEBEI nchini CHINA wameahidi kuweza katika mkoa wa PWANI kutokana na mazingira rafiki ili kusaidia kuendelaza juhudi za taifa kufikia uchumi wa viwanda na kuongeza uchumi, sanjari na ajira kwa Watanzania.
#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV