Majaliwa afungua milango ya uwekezaji Urusi

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=79uobKR61rY



Duration: 1:56
465 views
3


#Tanzania imefanya makubaliano ya awali na kampuni za Urusi kwa ajili ya kuwekeza nchini katika sekta za mafuta na gesi, kilimo na miundombinu ya reli.

#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV