Unajua kuwa Zanzibar kuna mabaki ya ndege ya Uingereza ya Vita Kuu ya II ya dunia?

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=KSkz5ROkioc



Duration: 3:27
561 views
6


Visiwani Zanzibar ni moja ya maeneo yaliyopatwa na msukosuko wa vita kuu ya pili ya dunia iliyomalizika mwaka 1945 na ushahidi wa athari ya vita hiyo unaletwa kwako na Mtumwa Saidi.
Tazama







Tags:
Vita Kuu ya Dunia
Ndege ya Uingereza
World War II