AZAM FC v REHA FC: Malick Dachi 'akiwaadhibu' Azam FC kwa bao la pili

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=5cZi-90NKOs



Duration: 0:59
1,619 views
5


Malick Dachi alipowazidi ujanja na mbio walinzi wa Azam FC kabla ya kumzidi hesabu golikipa Razack Abarola na kuutumbukiza mpira anakotagia kuku kuandika bao la pili kwa Reha FC.
Mechi ilipigwa asubuhi kwenye dmba la Chamazi Complex na ilikuwa LIVE kupitia #AzamSports2 na #AzamTVApp







Tags:
Azam FC
Azam FC v Reha FC
Chamazi Complex
Azam Chamazi Complex
Soka
Mechi ya kirafiki
Friendly match