Newala walia na Ubovu wa miundombinu

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=jaYPdjMvxy4



Duration: 2:08
937 views
8


Ubovu wa miundombinu ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala umelalamikiwa na wakazi wake wakiwemo wa Vijiji vya Mtongwele, Mitema, Mpwawa na Kitangali wakiitaka serikali kuwajengea karavati imara katika eneo lenye maji ili kuwarahisishia mawasiliano kati yao na maeneo mengine.







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam Sports2
Azam TV App
UFM Radio
Vijiji vya Mtongwele
Mitema
Mpwawa na Kitangali
wILAYA YA nEWALA
MIUNDOMBINU