MSHIKEMSHIKE VIWANJANI AZAM TV 8/9/2018

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=HRqdbE52Jq8



Duration: 20:15
3,444 views
14


Timu ya soka ya Simba SC usiku wa leo Septemba 8, imepata ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya AFC Leopards ya Kenya katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Taifa Stars yatoa suluhu na Yanga SC. Yanga SC Kucheza mechi ya kirafiki na Afrika Lyone. Azam Kujipima nguvu na Reha FC







Tags:
Taifa Stars
Afrika Lyone
Reha FC
Yanga SC
AFC Leopards ya Kenya
Simba SC
Azam TV
Azam TWO
Azam Sports2
Azam TV App
UFM Radio
Azam TV Habari
Habari