Nditiye :Safari za mabasi kwenda mikoani kuanza saa 11: 00 alfajiri

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=cV9u0mpE6uQ



Duration: 2:12
1,847 views
6


Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasilino Mhandisi Atashata Nditiye ametangaza ahueni kwa baadhi ya safari nchini ambazo zilikuwa zikianza saa 12:00 asubuhi, sasa kuanza mapema tofauti na hapo awali.







Tags:
Atashasta Nditiye
Ubungo terminal
Safari za mikoani