Gavana mwangaza asubiri uamuzi wa kura ya Seneti

Subscribers:
4,810,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=NLyKYCrgF2A



Duration: 2:31
96 views
1


Bunge la Seneti litapiga kura ya kuamua iwapo Gavana wa Meru Kawira Mwangaza atatimuliwa ofisini au la. Bunge la seneti limekuwa likisikiliza hoja ya kuondoa mwangaza mamlakani kwa siku mbili baada ya kutimuliwa na wawakilishi wadi. Hoja hiyo inayohusisha madai ya matumizi mabaya ya mamlaka ingali inajadiliwa katika bunge la Seneti.




Other Videos By Citizen TV Kenya


2023-11-30Polisi watatu wachunguzwa kwa madai ya kula hongo
2023-11-30Rais Ruto asema uchumi wa Kenya unakua vizuri
2023-11-30Kongamano la kimataifa la mabadiliko ya tabianchi laanza
2023-11-30NTSA yaanzisha msako wa magari ya kibinafsi
2023-11-24Citizen TV Live
2023-11-08Mtu mmoja auwawa na umeme wa mvua Chesiliot Bomet
2023-11-08Maafisa wa KRA wakosolewa na kukagua mizigo JKIA
2023-11-08Walimu saba wakamatwa kwa madai ya udanganyifu
2023-11-08Ndovu wavamia mashamba kijijini Cheptir kaunti ya Kericho
2023-11-08Maseneta wakosoa ujumbe Waziri Moses Kuria
2023-11-08Gavana mwangaza asubiri uamuzi wa kura ya Seneti
2023-11-08| Kenya's Gold | Farming the Machoka way: Agri - Star
2023-11-08Kenya's Gold | Domesticating Dorper Sheep
2023-11-08Kenya's Gold | Feeding Dorper Sheep
2023-11-082nd Day of Governor Mwangaza Impeachment Hearing
2023-11-08Enraged Kisumu residents to the rescue of a carwash operator manhandled by county askaris
2023-11-08Governor Kawira Mwangaza sheds tears as MP Mpuru Aburi's remarks played in impeachment case hearing
2023-11-08“Deni ni kuwa na subira, si kulipa,” CS Machogu urges Kenyans to be patient as economy stabilises
2023-11-08Bodaboda operators in Western region asked to collect more 2,500 motorbikes lying in police stations
2023-11-07Kawira Mwangaza moved to tears after a video showing crude comments against her played in the Senate
2023-11-07'Mwaki' hitmaker Sofiya Nzau talks song writing process, international fame and husband's support