Walimu saba wakamatwa kwa madai ya udanganyifu

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=-3pWyGjf1AQ



Duration: 2:54
15 views
0


Walimu 9 wakiwemo wasimamizi watatu wa vituo vya mtihani unaoendelea wa kcse wamekamatwa kwa madai ya kujihusisha na wizi wa mtihani. Wasimamizi hao ambao tayari wamesimamishwa kazi katika kaunti ya nyamira wanadaiwa kushiriki uhalifu huo baada ya kupokea pesa kutoka kwa walimu na wazazi wa shule za Nyambaria, Gekomoni, na St Pauls Gekono