Kongamano la kimataifa la mabadiliko ya tabianchi laanza

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=OQTGGnSFeRk



Duration: 1:13
497 views
0


Kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, Cop28 limeng'oa nanga jijini Dubai baada ya Rais Dkt. Sultan Ahmed Al Jaber kuchukua usukani kutoka kwa mtangulizi wake.