Maseneta wakosoa ujumbe Waziri Moses Kuria

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=su_gSgdlK4A



Duration: 1:56
78 views
3


Maseneta sasa wanamtaka Rais William Ruto kumwachisha kazi mara moja waziri wa usimamizi wa huduma za umma moses kuria kufuatia matamshi yake kuhusiana na mswada wa kumng'atua mamlakani gavana wa Meru Kawira Mwangaza. Maseneta wamesema kuwa waziri kuria hafai kuendelea na majukumu yake kutokana na matamshi yake yanayoaibisha taifa na serikali kwa jumla