Maafisa wa KRA wakosolewa na kukagua mizigo JKIA

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=i0fEJhOUlvY



Duration: 1:31
24 views
0


Mwenyekiti wa Kamati ya bunge la taifa kuhusu fedha na mpangilio Kimani Kuria, amesema kwamba kamati hiyo itawasilisha mswada maalum wa kubadilisha sheria kuhusu ulipaji ushuru wa kiwango cha juu Kwa bidhaa zinazoingia nchini . Aidha, kamishna wa mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA Lillian Nyawanda, amesema kwamba mamlaka hiyo itaboresha utendakazi wake katika uwanja wa ndege wa JKIA, kutokana na malalamishi ya ukaguzi wa mizigo ya wasafiri wanaoingia nchini.