Maandalizi ya Mbio za nyika eneo la Chepsaita kaunti ya Uasin Gishu yamekamilika

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=K4dPlBYf4Fo



Duration: 2:29
683 views
0


Maandalizi ya Mbio za nyika zitakazofanyika katika eneo la Chepsaita kaunti ya Uasin Gishu yamekamilika huku wanariadha tajika ulimwenguni wakitarajiwa kushiriki mashindano hayo tarehe 2 mwezi ujao