Daktari George Muli anaangazia saratani ya tumbo

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=4tOOUrdleVI



Duration: 4:38
1,344 views
0


Saratani ya tumbo ni kansa inayotokea katika sehemu yoyote ya tumbo na mara nyingi Saratani hii inatibika iwapo itapatikana na kutibiwa katika hatua za awali. huku mfumo wa Maisha ukionekana kuchangaia mno kuwepo kwa saratani hii, katika siha na maumbile hii leo Dkt George Muli wa kituo cha matibabu cha Equity Afya kitengela anaeleza kwa kina kuhusu ugonjwa huo na namna mtu anavyoweza kuepuka hatari zake.