Serikali yasema watu 136 wamefariki kote nchini sababu ya El-nino

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=7oNvUMje_kc



Duration: 3:03
2,658 views
0


Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko sasa imefikia watu 136 hii ni baada ya watu 16 kusombwa na maji chini ya saa 24. Kwa mujibu wa serikali watu 462 pia wameachwa bila makao katika kipindi hicho huku idadi ya wale walioathirika ikifikia 92,432