Serikali yatenga Sh200 bilioni kuboresha miundombinu shuleni

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=BgAay3VA3Rc



Duration: 1:57
283 views
0


Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema imedhamiria kutekeleza miradi ya ukarabati na ujenzi wa vyumba vya madarasa ambapo hadi sasa imetumia Shilingi bilioni 306 huku ikikusudia kuongeza Shilingi bilioni 201 kwenye uwekezaji wa miundombinu.

#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV