Arusha Lutheran Medical Centre yapandishwa hadhi kufikia ngazi ya juu

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=mnw44kJGI0A



Duration: 3:13
827 views
6


Wizara ya Afya nchini imeipandisha ngazi hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre kufikia hadhi ya juu zaidi hivyo kubakisha ngazi moja tu ili kungana na hospitali nyingine moja tu nchini yenye hadhi hiyo ya juu zaidi.







Tags:
Arusha Lutheran Medical Centre
Afya Arusha
Wizara ya Afya
Dkt Mohamed Mohamed Wizara ya Afya
Huduma za afya