Serikali yaupinga mpango wa Bharti Airtel

Channel:
Subscribers:
2,630,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=edB9DwdcFkg



Duration: 2:48
343 views
1


Serikali imeipinga hatua ya kampuni ya Bharti Airtel kukaribisha wanahisa wapya ndani ya kampuni ya Airtel Afrika Limited inayodaiwa kusajiliwa nchini Uingereza huku msajili wa hazina akisema hakuna hatua inayopaswa kuchukuliwa na Bharti Airtel hadi majadiliano kati ya Serikali na Airtel Tanzania PLC yakamilike.







Tags:
Serikali
Mawasiliano
Uwekezaji
wanahisa
Msajili wa hazina
Bharti Airtel
Airtel Tanzania PLC