MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 31/10/2018

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=LeK1o6D8lrc



Duration: 22:58
2,389 views
19


KMC yaichakaza Ndanda FC kwenye Ligi Kuu Tanzania na mshambuliaji wa Lipuli FC Malimi Busungu aibukia mkoani Dodoma na kudai aliondoka kambini kwa kuaga na si kama inavyodaiwa kuwa hajulikani alipo.
Kwa hayo na mengine mengi ya kimichezo ungana na Philip Cyprian ndani ya MSHIKEMSHIKE VIWANJANI.







Tags:
Michezo
Ligi Kuu Tanzania
Soka
Malimi Busungu
TFF
Cliford Ndimbo
Yanga SC
KMCVsNdandaFC