Zitto akamatwa na polisi kwa mahojiano

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=jjkj8lQDDg8



Duration: 3:41
4,671 views
18


Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekamatwa kwa mahojiano ya kina kuhusiana na taarifa aliyoitoa inayodai watu zaidi ya 100 wameuawa na jeshi la polisi mkoani Kigoma taarifa ambazo Polisi imesema sio sahihi.







Tags:
Zitto Kabwe
Polisi Tanzania
Siasa
Zitto akamatwa Dar es Salaam