Mdogo wa Rostam Aziz ashtakiwa kwa uhujumu uchumi, vigogo Acacia warejeshwa rumande

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=HS6TsCniyHA



Duration: 2:51
4,580 views
9


Mfanyabiashara Akram Aziz ambaye ni mdogo wa aliyekuwa mbunge wa Nzega, Rostam Aziz amefikishwa mahakama ya Kisutu akikabiliwa na mashtaka 75 yakiwemo ya kukutwa na nyara za serikali na utakatishaji fedha.







Tags:
Acacia
Uhujumu Uchumi
Rostam Aziz
Akram Aziz
Biashara
Mfanyabiashara
Siasa
Uwekezaji