| UTALII WA ISRAELI | Ni taifa lenye historia ya kipekee dunia nzima

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=IOp9twrGex0



Duration: 6:26
5,142 views
67


Nchi ya Israeli inaloenziwa kama ardhi takatifu ina historia ya kipekee inayounganisha dini tofauti duniani ikiwemo ukristo, uislamu na uyahudi. Mamilioni ya wakristo nchini huazimia kuzuru taifa hili kwa shughuli za ibada. Lakini kando na masuala ya kidini taifa hili linajivunia kupiga hatua katika nyanja ya teknolojia, kilimo, na ziwa lililo sehemu ya chini zaidi duniani. Gatete njoroge alikuwa israel akiandamana na walimu 17 waliotajwa kama bora na wanafunzi wao kutoka sehemu tofauti nchini.