Watoto wawili wajeruhiwa na wezi wa mifugo Kapenguria

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=NNKZkc_pyxY



Duration: 2:08
1,941 views
22


Watoto wawili wa chini ya miaka 15 wamelazwa katika hospitali ya Kapenguria, kaunti ya West Pokot baada ya kupigwa risasi kwenye shambulizi la punde zaidi la wizi wa mifugo katika eneo la Turkwel. Aidha, mifugo 100 waliibwa kwenye shambulizi hili, japo maafisa wa usalama wanasema walifanikiwa kuwaokoa.