Wazee wanaotegemea fedha za Inua Jamii wanalalamika

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=P7wfbwHO7Qc



Duration: 2:29
2,681 views
14


Wazee wanaotegemea pesa za serikali kupitia mpango wa Inua Jamii wanalalamikia kutopokea fedha hizo kwa muda sasa, wakisema hali hii inawaweka kwenye hali ya mahangaiko. Baadhi ya wazee hawa kaunti ya Nyeri wakisimulia namna wanashindwa kukidhi mahitaji yao muhimu kwa kucheleweshwa kwa fedha hizo.