Mwalimu wa dini atekwa nyara Komarock

Subscribers:
4,820,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=0RxgkCZ9x2k



Duration: 1:58
10,195 views
79


Familia moja eneo la Komarock hapa Nairobi inataka majibu kutoka kwa maafisa wa usalama baada ya jamaa yao kutekwa nyara Jumanne iliyopita. Ahmed Yussuf Gasana ambaye ni mwalimu wa dini ya kiisilamu alichukuliwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana na hadi leo hajulikani aliko. Juhudi za familia kumtafuta hazijafua dafu.