Tanzania imeshauriwa kuongeza uhusiano na nchi za Asia

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=rZTfH-fSJgw



Duration: 1:10
119 views
1


“Kuna kila sababu Tanzania ikaongeza ushirikiano na nchi za Asia ambazo uchumi wake unakua kwa kasi,” kauli ya Profesa Humfrey Moshi wakati akichangia mada wakati wa kongamano la uchumi na siasa nchini kwa kipindi cha miaka mitatu.







Tags:
Azam tv
Azam TWO
Azam TV App
Azam TV Habari
Habari
Kongamano La Uchumi
Kongamano
Rais Magufuli