Nataka Mbao FC imalize ligi ikiwa nafasi nne za juu – Kocha Amri Said; (MAKALA - TPL 2018/19)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=PrgDlAuHYiQ



Duration: 22:10
212 views
5


Kocha mpya wa timu ya Mbao FC Amri Said amesema lengo katika klabu hiyo ni kuhakikisha inashika nafasi ya tatu au ya nne baada ya miaka mitatu endapo ataendelea kuifundisha.

Amri ameeleza lengo hilo kwenye Makala hii ambayo ni miongoni mwa Makala maalum za Ligi Kuu Tanzania Bara, zinazoangazia maandalizi ya timu mbalimbali, ambapo ameweka wazi kuwa msimu huu lengo lake ni kumaliza nafasi ya saba au ya sita.

Fuatilia mahojiano haya EXCLUSIVE, ambapo kocha huyo ameeleza pia tofauti ya timu yake ya sasa na timu alizowahi kuzifundisha ikiwemo Lipuli FC.

Amri alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Simba, amesimulia kilichokuwa kikiipa Simba makali ya kufanya vizuri katika anga ya kimataifa huku akikumbushia jinsi Simba ilivyozitesa timu kutoka ukanda wa kiarabu zikiwemo Zamalek na Ismailia.

Kocha huyo pia amezungumzia umuhimu wa Azam TV kwenye ligi ya Tanzania huku akiweka hadharani kitu ambacho anakipenda tofauti na soka.




Other Videos By Azam TV


2018-09-05Bei ya Petroli na Dizeli zashuka kwa baadhi ya mikoa, ufafanuzi watolewa
2018-09-05Naibu Spika 'agoma' kusoma barua ya Museveni kuhusu usalama wa wabunge
2018-09-05Mbwana Samatta: Tusitazame Uganda kama mechi kubwa, tulenge AFCON
2018-09-05Rais Magufuli aahidi kufukuza watu mradi wa maji mkoani Mara ukikwama
2018-09-05Balozi Kijazi ataka majina ya ufisadi tenda za wahandisi
2018-09-05Madiwani wa CUF waliosimamishwa kwa zaidi ya mwaka mmoja warejeshwa
2018-09-05Mahujaji 120 wa Tanzania warejea salama
2018-09-05HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
2018-09-05Fumo Felician: Wachezaji wengi siku hizi hawajitambui (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-05Wachezaji wa zamani Coastal Union wasimulia walivyoipigania timu hiyo (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-05Nataka Mbao FC imalize ligi ikiwa nafasi nne za juu – Kocha Amri Said; (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-05Siangalii uwezo wa mchezaji, naangalia nidhamu - Kocha wa Mwadui FC (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-05JKT Tanzania: Mashabiki wengi watazihama timu zao na kujiunga na sisi (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-05Magufuli atolea uvivu 'uwekezaji katika Musoma Hotel'
2018-09-05Simba na Yanga 'kukitifua' mechi za kirafiki Septemba 8 na Septemba 9 mwaka huu
2018-09-05Ummy Mwalimu 'kula sahani moja' na wanaopotosha kwenya mitandao ya kijamii
2018-09-05Simiyu yaja na mikakati ya kumkomboa mkulima wa Pamba
2018-09-05Zaidi ya shilingi bilioni 660 kujenga barabara za Dar es Salaam
2018-09-05Wanafunzi waliofanya vizuri Zanzibar wazawadiwa
2018-09-05Darasa la saba watahadharishwa kutokimbilia ndoa
2018-09-05VURUGU: Mechi yavunjika Babati baada ya mashabiki kumvamia mwamuzi uwanjani



Tags:
Kocha
Amri Said
Philip Cyprian
Azam TV
Makala
michezo
Mbao
Mbao fC
Simba
kimataifa
Kocha wa Mbao