JPM awasha moto uvuvi haramu, aagiza maafisa uvuvi wakamatwe

Channel:
Subscribers:
2,630,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=ecVibBCYPnk



Duration: 1:10
765 views
4


“Maafisa uvuvi hawa ndio wameleteleza uvuvi haramu. Nikuombe tu waziri…anza kushughulikia maafisa uvuvi wako…ukiuta sehemu kuna uvuvi haramu na eneo hilo kuna afisa uvuvi kamata huyo, weka ndani…kwa sababu wanalipwa hela za serikali na uvuvi unaendelea,” – Rais Magufuli







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Uvuvi haram
Maafisa uvuvi
Rais Magufuli
Magufuli Bariadi
Maafisa uvuvi kukamatwa