KURASA ZA MWISHO: Magazeti yameitendea haki mechi ya Uganda v Taifa Stars?

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=pouO5Hwao7w



Duration: 56:21
295 views
4


Mechi ya Taifa Stars dhidi ya Uganda imepewa kipaumbele kwenye KURASA ZA MWISHO za magazeti ya leo?
Tazama mjadala mpana unaowahusisha wahariri wakifanya uchambuzi yale yaliyoandikwa kwenye kurasa hizo.

Ungana na Pascal Kabombe.

Kipindi cha KURASA ZA MWISHO kinaruka kila Jumamosi saa 3:30 asubuhi kupitia AzamSports2







Tags:
Philip Cyprian
Kurasa za Mwisho
Championi
Mwanaspoti