Waliotorosha mashine za kiwanda cha almasi waanza kusakwa

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=uQH8esnqjrw



Duration: 0:58
703 views
1


Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ametoa siku 30 kwa watu wanaohusika na utoroshwaji wa mashine zilizokuwa katika kiwanda cha almasi cha mjini mafinga na kutaifishwa kujisalimisha ofisini kwake kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa







Tags:
Azam TV
Azam TWO
Azam TV Habari
Habari
Rose Mrutu
Raymond Nyamwihula