TRA yagawa makontena ya Makonda

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=xC-Onc3oKTE



Duration: 1:39
929 views
11


Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imeyagawa kwa mamlaka mbalimbali za Serikali makontena yenye samani yaliyoingizwa nchini kwa anuani ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.







Tags:
TRA
Mamlaka ya Mapato TRA
Makontena ya Makonda
Makontena Bandarini
Ushuru wa Bandari
Kodi