Wanafunzi kidato cha 4 waonywa kutoiba mitihani Zanzibar

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=QTRkbxzuQ_w



Duration: 3:09
1,362 views
11


Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetoa onyo kali kwa wanafunzi na maofisa elimu dhidi ya vitendo vya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne inayotarajiwa kufanyika Novemba 5.







Tags:
Elimu Zanzibar
Elimu na mafunzo ya amali Zanzibar
Mtihani wa kidato cha nne Zanzibar
Wizi wa mitihani
Watahiniwa feki Zanzibar