Majaliwa atatua mgogoro wa miaka mitano, kiwanda cha chai Mponde chafunguliwa

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=uqeVncN6nws



Duration: 3:37
1,922 views
9


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamuru kufunguliwa mara moja kwa kiwanda cha chai cha Mponde baada ya kumaliza mgogoro uliodumu kwa miaka mitano na kusababisha kiwanda hicho kufungwa.







Tags:
Kassim Majaliwa
Kassim Majaliwa Mponde
Kiwanda cha Chai Mponde
January Makamba Mponde
Wakulima wa chai Mponde
Mgogoro wa kiwanda cha chai Mponde