Mbowe akwamisha kesi ya viongozi wa CHADEMA

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=i0tXWG58X88



Duration: 1:59
220 views
1


Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesababisha kuahirishwa kwa kesi inayowakabili viongozi wa chama hicho kwenye mahakama ya Kisutu baada ya kuugua na kulazimika kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu.







Tags:
CHADEMA
Freeman Mbowe
Mbowe matibabu Afrika Kusini
Kesi CHADEMA Kisutu
Mwenyekiti CHADEMA